- 273 viewsWaumini wa kanisa katoliki wamekuwa na hisia mchanganyiko baada ya kusikia sauti ya Papa Francis leo Ijumaa, kwa mara ya kwanza tangu alipolazwa hospitali, mwezi Februari. Sauti ya Francis, iliyorekodiwa jana Alhamisi, ilichezwa kwa waumini waliokusanyika kwenye bustani ya Mtakatifu Petro, kwa maombi. Vatican imesema Papa Francis mwenye umri wa miaka 88 amekuwa na usiku mtulivu na amelala salama, aliamka baada ya saa mbili asubuhi Ijumaa. Madaktari wamesema hawatarajii kutoa ripoti ya hivi punde kuhusu afya ya Papa, hadi kesho Jumamosi, kwa sababu hali yake ni thabithi na kwamba hana matatizo ya kupumua au matatizo mengine kwa siku kadhaa sasa. #voaswahili #afrika #papafrancis #katoliki #bustani #mtakatifupetro #maombi #furaha #huzuni
Sauti ya Papa Francis yaleta furaha na huzuni katika Bustani ya Mtakatifu Petro
- 31 Mar 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has asked President William Ruto to launch his new projects in the Mount Kenya region and stop what he calls riding on his predecessor Uhuru Kenyatta’s old projects.
- 31 Mar 2025 - The head of the junta in Burkina Faso has pardoned 21 soldiers convicted of involvement in a failed coup in 2015, according to an official decree seen by AFP on Monday.
- 31 Mar 2025 - The publication claimed that there were reports of former Mungiki leader Maina Njenga's involvement in mobilisation efforts.
- 31 Mar 2025 - Police were out in force and businesses and offices closed in key Zimbabwe cities after authorities warned against demonstrations called for Monday to demand that President Emmerson Mnangagwa leave power.
- 31 Mar 2025 - Wetangula advised that despite the order being made in the northern region, it affected all Kenyans.
- 31 Mar 2025 - The AU chair released a statement on Monday, days after Raila's attempts to mediate in the nation suffered a setback.
- 31 Mar 2025 - President William Ruto’s women's rights advisor, Harriette Chiggai, has condemned the brutal murder of 17-year-old Gaala Aden Abdi in Wajir County for refusing to be married off to a 55-year-old man.
- 31 Mar 2025 - President William Ruto’s women's rights advisor, Harriette Chiggai, has condemned the brutal murder of 17-year-old Gaala Aden Abdi in Wajir County for refusing to be married off to a 55-year-old man.
- 31 Mar 2025 - Senators say the committee has been sleeping on its job as far as the transfer of assets is concerned.
- 31 Mar 2025 - According to police, the victims were returning from a memorial service when their vehicle crashed into a lorry.