Mseto wa habari za michezo

  • | K24 Video
    3 views

    Licha ya kushikilia uongozi wa mbili kavu katika mkondo wa kwanza, Junior Starlets inawinda ushindi dhidi ya uganda katika mechi ya marudio ya kufuzu kombe la dunia kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17. Kwengineko, baada ya kuaihirishwa mwaka jana kutokana na hofu ya usalama, makala ya 25 ya mashindano ya mbio za Lewa yataandaliwa tarehe 28 mwezi juni mwaka huu ambapo zaidi ya wanariadha 1500 wanatarajiwa kushiriki.