- 14,581 views
Familia ya Gilbert Thuku Kimani jamaa aliyefariki baada ya kusukumwa kutoka kwa gari la kampuni ya Super Metro katika barabara ya thika inataka polisi kufanya uchunguzi wa kina. Tayari polisi wanasema wamemtia mbaroni dereva wa gari lililohusika na tukio hilo na wanamsaka makanga anayedaiwa kumsukuma gilbert na kusababisha kifo chake. Marehemu alikosa shilingi 30 tu za kuongezea kwenye nauli yake na hiyo ikawa sababu ya kusukumwa kutoka kwa gari hilo na kufariki...
Polisi wamemkamata dereva wa gari la Super Metro
- - Duniani Leo ››
- 15 Mar 2025 - Kenya will lose up to Ksh52 billion in funding, according to CS Mbadi.
- 15 Mar 2025 - "Abdallah Makki Muslih al-Rifa "was considered one of the most dangerous terrorists in Iraq and the world".
- 15 Mar 2025 - These events have raised questions about the safety and planning of high-profile political engagements by the president.
- 15 Mar 2025 - Dear Mr President, tough times call you to reflect on your leadership
- 15 Mar 2025 - Outrage over disruptions caused by Ruto Nairobi tours
- 15 Mar 2025 - Millions of shillings lie idle in unused county health projects
- 15 Mar 2025 - An autopsy has revealed that the foreign national suffered multiple trauma after he was hit and "possibly" run over on the left side of his body by the government vehicle.
- 15 Mar 2025 - The two were arrested in the wake of their con job that defrauded a Kenyan of millions.
- 15 Mar 2025 - Mudavadi addressed Kenya's stance on global conflicts.
- 15 Mar 2025 - President William Ruto’s recent political realignment with former Prime Minister Raila Odinga has triggered a major realignment in Mt Kenya’s leadership within the National Assembly. Several key leaders, perceived to been aligned to former Deputy…