Kocha wa mpira wa miguu asiyeona

  • | BBC Swahili
    3 views
    Kijana mmoja amevunja mipaka ya wengi waliodhani haiwezekani.,Priver Ngonyani, kocha wa soka ambaye amezaliwa akiwa mlemavu wa macho amejizolea umaarufu kwenye kijiji anachotoka kutokana na upendo wake wa mchezo wa soka. - Kwa kutumia sauti na amekuwa akiisimamia timu inayoshiriki katika ligi za ngazi ya chini mkoani humo. Lakini safari yake haikuwa rahisi, mwandishi wa BBC Alfred Lasteck alihudhuria moja ya mazoezi ya timu hiyo na kutuandalia taarifa hii; - - #bbcswahili #ulemavu #soka #michezo #tanzania🇹🇿Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw