Wanaotaka kuwa wenyekiti wa IEBC kupigwa msasa kwanzia Jumatatu

  • | Citizen TV
    1,506 views

    Kamati ya uteuzi wa makamishna wa IEBC imetoa ratiba ya mahojiano na watu kumi na mmoja wanaotafuta wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi pamoja na wale wanaotafuta kuwa makamishna.