Gavana Mutula Kilonzo Junior apinga kauli ya Waziri Eric Muuga kuhusu Thwake

  • | NTV Video
    347 views

    Gavana wa Makueni, Mutula Kilonzo Junior amepinga vikali kauli ya waziri wa maji Eric Muuga, kwamba kuchelewa kwa ujenzi wa bwawa la Thwake kumesababishwa na vita kati ya urusi na Ukraine.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya