DPP Renson Ingonga akana madai ya kuondoa kesi za ufisadi serikalini bila uhalali

  • | NTV Video
    267 views

    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini (DPP), Renson Ingonga ameendelea kukana madai ya afisi hiyo kuondoa kesi za ufisadi zinazohusisha watu wanaozingatiwa kushika nyadhifa za utendaji katika serikali, bila uhalali ufaao kwa wananchi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya