Ruto na Raila waahidi kushirikiana, lakini Wakenya wanashuku ushirikiano wao

  • | NTV Video
    831 views

    Ni wiki ya kwanza imekamilika tangu rais William Ruto waliungana na mpinzani wake wa jadi Raila Odinga na kuahidi kufanya kazi kwa pamoja. Ingawa walikubaliana masuala kumi kwa wakenya, wakenya bado wanatilia doa usuhuba huu wa ndoa ya wawili hao wengi wakisema ni ya ubinafsi sio kwa manufaa ya wakenya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya