Watu wanne wakamatwa kwa tuhuma za ujambazi Samburu

  • | Citizen TV
    469 views

    Siku Moja baada ya chama Cha wafanyibiashara tawi la Samburu,kuwasilisha lalama zao Kwa asasi za usalama Kaunti ya Samburu wakilalamikia kulengwa Kwa biashara zao na majambazi,mratibu wa usalama bonde la ufa Dkt.Abdi Hassan amethibitisha kukamatwa Kwa washukiwa wanne,wanaoendelea kuzuiliwa na polisi kabla kufikishwa mahakamani. Hayo yamejiri kwenye ziara ya wakuu wa usalama wa bonde la ufa kwenye Kaunti ya Samburu