Renson Ingonga asema ofisi yake iko huru kuondoa kesi mahakamani

  • | Citizen TV
    156 views

    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Ingonga Sasa Anasema hatua ya kuondoa kesi za hadhi ya juu mahakamani Huwa ni juhudi za afisi yake kuchunga fedha za umma, haswa inapobainika hakuna ushahidi wa kutosha kupata hukumu.