Wakaazi wa Migori walalamikia gharama ya juu ya kusafisha figo

  • | Citizen TV
    170 views

    Watu wanaougua ugonjwa wa figo wanazidi kuongezeka katika Kaunti ya Migori huku wagonjwa wakilalamikia gharama ya juu ya kusafisha figo.