Serikali ya Mandera yaanzisha mpango wa kuimarisha kilimo kwa kujenga ukuta kando kando mwa mto Daua

  • | Citizen TV
    637 views

    Kutokana na athari za kila wakati za mafuriko kwa wakulima wa kaunti ya Mandera, serikali ya kaunti hiyo imeanzisha mpango wa kuimarisha kilimo kwa kujenga ukuta kando kando mwa mto Daua ili kuzuia uharibifu wa mashamba na mimea.