Vijana waunda vikundi vya kazi eneo la Busia

  • | Citizen TV
    197 views

    Eneo Bunge La Butula Kaunti Ya Busia Wameungana Na Kuanzisha Makundi Ya Kufanya Kazi Hasa Ukulima Kwa Kandarasi Katika Maeneo Ya Nambale, Matayos Na Siaya, Ili Kupata Tonge La Siku. Hatua Hiyo Imeafikiwa Na Vijana Hao Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira. Na Kama Anavyoarifu Jane Cherotich, Hatua Hiyo Inawasaidia Vijanakujiepusha Na Uhalifu.