Je mashindano ya kutafuta vipaji yanakuza muziki?

  • | BBC Swahili
    229 views
    Rita Paulsen ni mwanzilishi wa moja wa shindano klubwa la kutafuta vipaji nchini Tanzania maarufu kama Bongo Star Search (BSS) na mmoja wa mmoja wa watu waliobadilisha tasnia ya burudani Tanzania. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw