Murkomen ashtumiwa kurejesha usalama Samburu baada ya mashambulizi na wizi wa mifugo

  • | NTV Video
    134 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen yuko chini ya shinikizo kali kurejesha hali ya usalama kaunti ya Samburu baada ya kuibuka kwa mashambulizi mapya na wizi wa mifugo hivi karibuni ambapo wakazi na wasafiri wamebaki kuishi na hofu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya