Watu 14 wamefariki katika ajali ya barabara Migaa, Nakuru, baada ya gari kugongwa na lori.

  • | NTV Video
    6,605 views

    Watu kumi na wanne wamefariki kwenye ajali ya barabara eneo la Migaa kaunti ya Nakuru baada ya gari la abiria lililokuwa likielekea Nairobi kugongwa kwa upande wa nyuma na lori.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya