Kocha wa mpira wa miguu aliye na ulemavu wa macho

  • | BBC Swahili
    281 views
    Priver Ngonyani, kocha wa soka ambaye amezaliwa akiwa kipofu amejizolea umaarufu kwenye kijiji anachotoka kutokana na mapenzi yake kwa mchezo wa soka. - Kwa kutumia sauti na hisia amekuwa akiisimamia timu inayoshiriki katika ligi za ngazi ya chini mkoani humo. Lakini safari yake haikuwa rahisi, mwandishi wa BBC Alfred Lasteck alihudhuria moja ya mazoezi ya timu hiyo na kutuandalia taarifa hii - - #bbcswahili #soka #kandanda #tanzania #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw