Kimbunga Jude kilichokumba maeneo ya Kusini mwa Afrika chaleta maafa makubwa

  • | VOA Swahili
    137 views
    Kimbunga cha kitropiki kilichopewa jina la Jude kiliikumba maeneo ya kusini wiki hii na kusababisha uharibifu mkubwa hususan nchini Malawi na Msumbiji, Sikiliza kile ambacho maafisa wa nchi hizo mbili wanasema kuhusu makazi ya watu. #kimbunga #jude #kusini #afrika #malawi #msumbiji #maafa #wakazi