‘Namshukuru Mungu alinipa mke ambaye ni muelewa’

  • | BBC Swahili
    133 views
    Hakika Ruben @hakikaruben ni mmoja wa wachekeshaji waliojipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii kutokana na ucheshi wake unaohusisha mazingira ya kawaida katika jamii. Amzungumza na @regina_mziwanda masuala mbalimbali kuhusiana na sanaa yake na masiha binafsi. Kutazama kwa urefu mahojiano haya tembelea ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #ucheshi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw