'Mwanangu amekuwa akisemwa kwanini unampeleka mama yako aharibike’

  • | BBC Swahili
    788 views
    Conchester Kokuongeza Ishengili, 65, maarufu kama mama mawigi, ni mama wa miaka 65 ambaye amepata umaarufu katika mitandao ya kijamii kutokana na uchekeshaji wake. Amezungumza mengi na @regina_mziwanda #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw