KEBS yasema kuna bidhaa ambazo zinaingizwa nchini kinyume cha sheria

  • | Citizen TV
    270 views

    Halmashauri ya kukadiria ubora wa bidhaa inchini (KEBS) imesema kuna bidhaa ambazo zinaingizwa nchini kinyume cha sheria bila kufikia viwango vya ubora vinavyohitajika.