'Mama yangu alikuwa mtoto mwenye mtoto na ujauzito mwingine''

  • | BBC Swahili
    510 views
    Alishuhudia ugumu wa maisha ya mama yake, ambaye aliendelea kuishi kwa kujitahidi kuwalea wadogo zake mapacha, aliowapata miaka michache tu baada ya kumzaa Bahati. Anazungumza na Martha Saranga kwenye Waridi wa BBC #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw