'Furaha ni uamuzi wa maisha'

  • | BBC Swahili
    478 views
    Watu wengine huonekana kuwa na furaha ya asili zaidi kuliko wenzao. Hata hivyo, ikiwa wewe ni mtu unayependa kuimba bafuni na kucheza kwenye mvua au mara nyingi huwa na muelekeo wa huzuni, furaha si jambo linalotokea kwa bahati tu. - Kuridhika na maisha ni matokeo ya maamuzi na mtazamo wetu wa kila siku. Kila mmoja wetu ana uwezo wa kubadilisha tabia na mitazamo yake ili kufurahia maisha zaidi. Hapa kuna vidokezo muhimu vya kuufanya mwaka 2025 uwe wenye furaha zaidi kwako: - - #bbcswahili #Furaha #urafiki #maisha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw