Mashindano ya mbio za magari yang'oa nanga Nairobi, katika Dira Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    124 views
    Mashindano ya Dunia ya Mbio za Magari ya WRC yameanza rasmi! Mashindano ya Safari Rally ya mwaka huu yameng'oa nanga jijini Nairobi mapema leo asubuhi, huku mashabiki wenye shauku kubwa wakikusanyika kushuhudia uzinduzi rasmi.