Katibu wa huduma za dijitali azindua mpango ya intaneti kwa walemavu

  • | Citizen TV
    98 views

    Katibu Mkuu wa huduma za Dijitali John Tanui, ameeleza kuwa serikali iko mbioni kutekeleza ahadi ya kuunganisha raia na intaneti kote nchini.