EMASE NA KAUNYA WATAKA BUSIA KUTOSAHAULIKA

  • | KNA Video
    34 views
    Mbunge wa Teso kusini Mary Emase na mwenzake wa Teso kaszikazini wamemtaka rais William Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga kuikumbuka jamii ya Iteso na kaunti ya Busia wakati wa uteuzi wa waziri wa maswala ya kijinsia, makatibu wakuu na maafisa wengine serikalini.