Rais Ruto akejeliwa na baadhi ya mashabiki kwenye mechi hiyo iliyochezwa ugani Nyayo

  • | K24 Video
    1,063 views

    Mbunge wa Mumias mashariki Peter Salasya alijipata pabaya hii leo, akisakamwa na wahuni na kulazimika kuyaokoa maisha yake. Sio salaysa pekee aliyesakamwa, kwani rais William Ruto alikejeliwa na baadhi ya mashabiki kwenye mechi hiyo iliyochezwa ugani nyayo.