Maelfu ya waumini wa dini ya kislamu washiriki ibada ya pamoja ya Eid Ul Fitr

  • | K24 Video
    24 views

    Maelfu ya waumini wa dini ya kislamu wameshiriki ibada ya pamoja ya Eid Ul Fitri -huku viongozi wakishinikiza wazazi kuwaimarisha vijana kupitia elimu na ujuzi ili kukabiliana na ongezeko la magenge ya vijana wahalifu yanayohangaisha wakaazi kaunti ya Mombasa na Kwale