Rais Ruto aanza rasmi ziara yake ya siku tano katika eneo la mlima Kenya

  • | K24 Video
    4,645 views

    Rais William Ruto ameanza rasmi ziara yake ya siku tano katika eneo la mlima Kenya, na hii leo amekita kambi kaunti za Laikipia na Nyeri. Rais William Ruto na wandani wake walionekana kuepuka siasa na kuendeleaza injili ya maendeleo na umoja. Vilevile rais William Ruto amekanusha madai kwamba kuna njama ya kulitenga eneo la Mlima Kenya.