Wizara ya afya, chini ya mamlaka ya SHA yaahidi kulipa madai yote ya hospitali kila tarehe 14

  • | K24 Video
    367 views

    Wizara ya afya, chini ya mamlaka ya afya ya jamii, SHA, imeahidi kulipa madai yote ya hospitali kila tarehe 14 ya kila mwezi. Katika hafala ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa waziri wa afya Debora Barasa katika jumba la afya hii leo, waziri mpya wa afya Aden Duale aliahidi kushughulikia changamoto za sekta hiyo ndani ya majuma matatu