Madam Ritha: 'Nimebadilisha maisha wa wengi'

  • | BBC Swahili
    2,594 views
    Rita Paulsen maarufu kama Maadam Rita kama wengi wanavyomfahamu amejijengea jina kubwa katika tasnia ya muziki wa Tanzania na hata kuzalisha wanamuziki wakubwa kupitia shindano la kutafuta vipaji ambalo limefanyika kwa takribani miaka 15. Na sasa Shindano hili limekuwa na kuvuka mipaka ambapo linafanyika kuzunguka nchi za Afrika Mashariki Regina Mziwanda amezungumza naye masuala mbalimbali Video hii pia unaweza kuitazama kwa urefu hapahapa YouTube ya BBCSwahili, tafuta Madam Ritha #bbcswahili #tanzania #burudani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw