Naibu Gavana wa kaunti ya Nakuru David Kones asema uongozi wa kaunti uko imara

  • | Citizen TV
    1,171 views

    Naibu Gavana wa kaunti ya Nakuru David Kones amewashutumu wote wanaoendeleza siasa za migawanyiko katika kaunti Nakuru kufuatia kutoonekana kwa Gavana Susan Kihika kwa zaidi ya miezi mitatu sasa akisisitiza kuwa uongozi wa kaunti hiyo uko imara na kuwa shuguli zote zinaendelea inavyopaswa chini ya uongozi wake hadi Gavana atakaporudi.