Familia ya mwanamke aliyeuawa Likoni yadai haki

  • | Citizen TV
    1,060 views

    Familia ya Jane Achieng mwanamke aliyeuawa kinyama na baadaye mwili wake kukatwa katwa vipande na kutiwa ndani ya gunia huko likoni katika kaunti Mombasa, imeusafirisha hadi Homa Bay kwa mazishi bila ya baadhi ya viungo.

    gun