Masaibu ya SACCO za Makos na Makata

  • | Citizen TV
    466 views

    Chama cha wamiliki wa Matatu kaunti ya Machakos kimeondoa SACCO mbili zinazofanya kazi ndani ya kaunti hiyo ambazo ni MAKOS na MAKATA kwa kukosa kufuata katiba ya chama hicho.