Usalama wa Garissa

  • | Citizen TV
    339 views

    Maafisa wa usalama mjini Garissa wametoa hakikisho kuwa hali ya usalama itaendelea kuimarishwa hasa wakati shamrashamra za sikukuu ya Idd zinapokaribia.