Vijana, Wajane, Walemavu washauriwa kujiunga na vikundi vya Jamii

  • | Citizen TV
    154 views

    Washikadau mbalimbali kutoka Bomachoge Chache wametoa wito kwa serikali na viongozi kutoka Kisii kupiga jeki vikundi mbalimbali vya kijamii kama njia mojawapo ya kukabili ukosefu wa kazi na kupigana na pombe haramu maeneo hayo.