Je Trump na Magufuli ni viongozi wa "damu moja" ?-

  • | BBC Swahili
    5,844 views
    John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afayeriki dunia, alikuwa mmoja ya viongozi wachache wa Afrika waliovuma sana wakati wa uhai na uongozi wake. Wapo waliomkosoa na wapo waliomuunga mkono kwa namna alivyozungumza na alivyotoa maamuzi hivyo hivyo kwa Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye wapo wanaomkosoa na wapo wanaomuunga mkono. Je viongozi hawa kuna namna wanafanana? Laillah Mohammed anatuelezea #bbcswahili #tanzania #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw