31 Oct 2025 10:32 am | Citizen TV 187 views Duration: 1:30 Wakulima wa miwa eneo la Bumula kaunti ya Bungoma wanapinga pendekezo la kubadilishwa eneo lao la uzalishaji wa miwa, kutoka zoni ya Lower Western hadi Upper Western .