31 Oct 2025 10:37 am | Citizen TV 230 views Duration: 1:33 Kenya imekuwa mwenyeji wa mashindano ya kwanza barani Afrika ya mapishi ya Kichina na Kiafrika, hafla iliyowaleta pamoja wapishi mahiri kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika.