Watu na mashirika yashindwa kuondoa mapaa yenye asbesto Migori

  • | Citizen TV
    99 views

    Taasisi na watu binafsi wenye majengo yanayoezekwa kwa asbesto wanaendelea kujikuna vichwa huku serikali ikitekeleza agizo lililoashiria kuwa mapaa yote ya asbesto lazima yaondolewe na kutupwa kwa sababu ya hatari za kiafya