Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ajira Samburu aapishwa

  • | Citizen TV
    308 views

    Wafanyikazi katika kaunti ya Samburu sasa watashusha pumzi baada ya Bodi ya utumishi wa umma Kaunti hiyo kupata sura mpya Mwenyekiti mpya akiapishwa mapema leo