Polisi washindwa kumwasilisha kortini mshukiwa wa mauaji ya Agnes Tirop

  • | Citizen TV
    253 views

    Hii ni mara ya tatu mfululizo mshukiwa huyo amekosa kufika mahakamani kwa kesi ya mauaji ya mwanariadha Agnes Tirop