Wagonjwa wa figo kupokea huduma mpya za kusafisha figo

  • | Citizen TV
    94 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani anajenga kituo cha pili cha kusafisha figo na wagonjwa walio katika hali mahututi katika hospitali ya Kinango ili kupunguza msongamano wa wagonjwa wa figo na mahututi katika hospitali ya rufaa ya Msambweni