Wakulima na wafugaji wa Trans Mara wahamasishwa Kilgoris

  • | Citizen TV
    124 views

    Mamia ya wakulima na wafugaji kutoka Transmara wamehamasishwa kuhusu mbinu bora za kuboresha ufugaji na Kilimo eneo hilo licha ya changamoto ambazo wamekuwa wakikumbana nazo kwa muda