Magavana walalamika kutopokea mgao wa KSh. 63B za maendeleo

  • | Citizen TV
    144 views

    Gavana wa kakamega Fernandes Barasa amefichua kuwa kaunti zote 47 bado hazijapokea shilingi bilioni 63 za mgao wa mwezi februari na machi mwaka huu.