Junaid Manji anaongoza siku ya pili na alama 6 ya gofu ya NCBA Junior stroke play

  • | NTV Video
    44 views

    Junaid Manji wa klabu ya gofu ya Sigona alionyesha weledi wake katika siku ya pili ya mashindano ya NCBA Kenya Junior Stroke play yanayoendelea katika klabu ya Gofu ya Muthaiga kwa kuongoza jedwali kwa jumla ya alama sita.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya