Jaji mkuu mstaafu David Kenani Maraga aliongoza jopo

  • | Citizen TV
    2,047 views

    Mahakama imeamua kuwa jopo kazi la aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga, lililokuwa na jukumu la kuangazia masuala na maslahi ya maafisa wa polisi, lilibuniwa kinyume cha Katiba