All Saints Embu Yatinga Nusu Fainali ya Raga ya Brookside

  • | K24 Video
    44 views

    Washikilizaji wa taji la kitaifa na la Afrika Mashariki katika raga ya wachezaji 15 kila upande, All Saints ya Embu, wamefuzu kwa nusu fainali ya mashindano ya Brookside ya shule za upili kwa muhula wa kwanza. All Saints walipata ushindi katika mechi mbili mfululizo, wakionyesha ubabe wao uwanjani.