Wanafunzi wa shule ya Butere Girls wasusia tamasha ya michezo ya kuigiza kaunti ya Nakuru

  • | KBC Video
    3,196 views

    Wizara ya elimu imekanusha madai kwamba shule ya upili ya wasichana ya Butere ilizuiwa kuwasilisha tamthilia yao kwa jina Echoes of War, wakati wa tamasha ya kitaifa ya michezo ya kuigiza na filamu iliyoandaliwa katika kaunti ya Nakuru. Waziri wa Julius Ogamba amesema wanafunzi hao walikataa kushiriki kwenye tamasha hiyo bila kuwepo kwa aliyekuwa seneta wa kaunti ya Kakamega Cleophas Malala, ambaye alidaiwa kuwa mwelekezi wa tamthilia hiyo. Na jinsi Kamche Menza anavyotuarifu, swintofahamu hiyo katika shule ya upili ya wavulana ya Kiboron imeibua mdahalo humu nchini huku serikali ikiwashutumu baadhi ya wanasiasa kwa kuingilia tamasha hiyo katika juhudi za kusukuma ajenda zao za kibinafsi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive