Mashindano ya Frisbee yataandaliwa Diani

  • | Citizen TV
    80 views

    Mashindano hayo kuanzia tarehe 18 hadi 21 Aprili

    Mashindano hayo yataleta pamoja mataifa zaidi ya kumi

    Viutravel inashirikiana na shirika la AAFDF